Lipa na Tembocard VISA kwenye POS au mtandaoni ushinde tiketi za FIFA WORLD CUP 26™ kwa hisani ya VISA

Tumia kadi yako kila unapolipa
Ongeza nafasi zako za kuweza kushinda

Juni 11 – Julai 19, 2026

Kila malipo, kuna nafasi ya kushinda

Tumia kila siku Lipa bili Nunua mtandaoni Tumia POS

Kila muamala, una nafasi ya kushinda

X

JINSI YA KUSHINDA

Kadri unavyotumia Kadi
yako mara nyingi, ndivyo nafasi zako
zinavyoongezeka.

Lipia Mtandaoni

Mtandaoni:

  1. Amazon
  2. Netflix
  3. Alibaba

Na huduma nyingine

Lipia Katika Biashara

POS:

  1. Maduka
  2. Supermarket
  3. Hoteli
  4. Vituo vya mafuta

Huna Kadi?

Omba TemboCard VISA, Credit Card au Prepaid Card sasa

ZAWADI ZA KUSHINDA

Tumia kadi yako kila siku katika kulipa bili, kununua mtandaoni pamoja na kupitia POS

JIPATIE FURSA YA KUSHINDA

Chagua Kadi Inayokufaa

Kadri unavyotumia kadi yako mara nyingi, ndivyo nafasi zako zinavyoongezeka.

Prepaid Card
  1. Weka kiasi unachotaka kutumia
  2. Inafaa kwa watu wenye akaunti au wasio na akaunti na CRDB Bank
  3. Salama kwa malipo ya mtandaoni
  4. Inakusaidia kudhibiti matumizi bila overdraft
  5. Inatumika kwenye POS, ATM na online
  6. Inakubalika kupitia mtandao wa Visa duniani kote

Vigezo vya Kupata Prepaid Card
  • Kitambulisho halali (NIDA / Passport / Leseni)
  • Namba ya simu inayofanya kazi
  • Jaza fomu ya maombi
  • Kuweka kiasi cha awali ianze kutumika.
Omba Prepaid Card
TemboCard Visa (Debit Card)
  1. Inatumia fedha zako moja kwa moja kutoka akaunti
  2. Ni Contactless
  3. Free SMS alerts kwa kila muamalai
  4. Unaweza ku-block/unblock kupitia SimBanking
  5. Ina muda wa matumizi wa hadi miaka 5
  6. Limits kubwa za matumizi (ATM, POS, Online)
  7. Inakubalika duniani kote kupitia Visa

Vigezo vya Kupata Debit Card
  • Lazima uwe na akaunti ya Benki ya CRDB (Savings/Current)
  • Kitambulisho halali(Nida, Passport, Kitambulisho chakupigia kura, na Leseni ya udereva)
Omba TemboCard Visa
Credit Card (Gold Credit Card)
  1. Tumia sasa, lipa baadae
  2. Grace period hadi siku 50 bila riba
  3. Limit ya mkopo hadi TZS milioni 500
  4. Interest rate nafuu (~3% kwa mwezi)
  5. Unaweza kupata supplementary cards kwa familia
  6. Inakupa flexibility ya kupanga malipo
  7. Inafaa kwa matumizi makubwa au dharura

Vigezo vya Kupata Credit Card
  • Lazima uwe na akaunti ya Benki ya CRDB
  • Uwe na kipato kipato kuanzia 500,000 kw mwezi
  • Uwe na historia nzuri ya kifedha
  • Kitambulisho halali (NIDA / Passport / Leseni)
  • Kujaza fomu ya maombi
Omba Credit Card