Mikopo
Mkopo wa Wafanyakazi
Pata mkopo wa Wafanyakazi hadi TZS Milioni 100 ndani ya masaa 24 na ‘Jiachie Utakavyo‘ na kiwango cha riba nafuu hadi 14% na muda wa marejesho hadi miaka 7.
Mkopo wa Jijenge
Mkopo wa muda mrefu unaotolewa kwa wateja na wateja watarajiwa wa benki ya CRDB kwa ajili ya Ujenzi, Kununua/Kukarabati nyumba za Kupanga.
Mkopo wa Boom Advance
Boom Advance ni mkopo wa muda mfupi unaokusudiwa kutoa suluhisho la kifedha la muda mfupi kwa wanafunzi kabla ya kupokea posho za HESLB.
Mkopo wa Salary Advance
Mkopo wetu wa Salary Advance ni njia isiyo na gharama kubwa ya kupata mkopo wa papo hapo hadi 50% ya mshahara wako kupitia SimBanking.
Mkopo wa Jinasue
Hii ni huduma ya mkopo inayoongeza salio kwenye akaunti ya mteja pale ambapo salio lililopo halitoshi kukamilisha muamala.
Pension Advance
Pension Advance is a short-term
UNI Loan
Uni Loan is a special short-term facility designed to help university students
Choose 3 Products to compare
Akaunti | Mkopo wa Wafanyakazi | Mkopo wa Jijenge | Mkopo wa Boom Advance | Mkopo wa Salary Advance | Mkopo wa Jinasue | Pension Advance | UNI Loan |
---|---|---|---|---|---|---|---|
Kiasi cha Mkopo | |||||||
Muda wa Mkopo | |||||||
Kuongeza mkopo | |||||||
Kubadilisha Mmiliki | |||||||
Dhamana | |||||||
Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi | Soma Zaidi |