Mkopo wa Fedha Taslimu (Jinasue Cash Loan)
Maelezo
Jinasue ni huduma ya mkopo wa kidijitali wa haraka na rahisi unaomuwezesha mteja kuomba na kurejesha mikopo moja kwa moja kupitia simu yake ya mkononi. Huduma hii inapatikana muda wote (24/7) kwa kutumia simu ya mkononi kupitia aplikesheni ya SimBanking au USSD (kwa kupiga *150*03#).
Huu ni mkopo wa muda mfupi unaotolewa moja kwa moja kwenye akaunti ya mteja ya CRDB ili kusaidia katika matumizi ya dharura au ya binafsi.
Mkopo wa Fedha Taslimu (Jinasue Cash Loan)
Huu ni mkopo wa muda mfupi unaotolewa moja kwa moja kwenye akaunti ya mteja ya CRDB ili kusaidia katika matumizi ya dharura au ya binafsi.
Kiasi cha Mkopo: Hadi shilingi 1,000,000.
Muda wa Mkopo: Siku 14 au 30.
Riba nafuu na shindani.
Mkopo unapatikana kupitia SimBanking App au USSD.
Mteja anaweza kuchukua mkopo zaidi ya mmoja kwa wakati ilimradi haivuki kikomo kilichoidhinishwa.
Fedha inaingizwa kwenye akaunti ya mteja papo hapo.
Mkopo wa “Overdraft” (Jinasue Overdraft)
Hii ni huduma ya mkopo inayoongeza salio kwenye akaunti ya mteja pale ambapo salio lililopo halitoshi kukamilisha muamala. Hii inamwezesha mteja kufanya miamala hata akiwa hana fedha ya kutosha.
Kiasi cha Mkopo: Hadi shilingi 1,000,000.
Muda wa Kulipa: Hulipwa mara tu mteja anapoweka fedha kwenye akaunti au ndani ya siku 30, kutegemea kipi kitaanza kwanza.
Riba nafuu na shindani.
Mkopo unapatikana kupitia SimBanking App au USSD.
Mteja anaweza kutumia huduma hii mara nyingi atakavyo ilimradi tu hajavuka kikomo kilichoidhinishwa.
Fedha inatolewa papo hapo wakati wa kufanya muamala.
Matumizi: Inaweza kutumika kukamilisha miamala muhimu kama vile:
Kuhamisha fedha Kwenda akaunti za CRDB, benki nyingine au mitandao ya simu.
Malipo ya huduma kama LUKU, maji, TV, n.k.
Malipo ya tiketi za ndege, bima, ada za shule, na mengineyo mengi
Mteja lazima awe na akaunti hai ya CRDB iliyounganishwa kwenye SimBanking.
Wafanyakazi: Wanapata mkopo hadi 50% ya mshahara wa mwezi baada ya makato
Wateja Wengine: Kiwango kitategemea wingi wa miamala wanayofanya kupitia akaunti zao.
Jinasue ni huduma ya mkopo wa kidijitali wa haraka na rahisi unaomuwezesha mteja kuomba na kurejesha mikopo moja kwa moja kupitia simu yake ya mkononi. Huduma hii inapatikana muda wote (24/7) kwa kutumia simu ya mkononi kupitia aplikesheni ya SimBanking au USSD (kwa kupiga *150*03#).
Huu ni mkopo wa muda mfupi unaotolewa moja kwa moja kwenye akaunti ya mteja ya CRDB ili kusaidia katika matumizi ya dharura au ya binafsi.
Kiasi cha Mkopo: Hadi shilingi 1,000,000.
Muda wa Mkopo: Siku 14 au 30.
Riba nafuu na shindani.
Mkopo unapatikana kupitia SimBanking App au USSD.
Mteja anaweza kuchukua mkopo zaidi ya mmoja kwa wakati ilimradi haivuki kikomo kilichoidhinishwa.
Fedha inaingizwa kwenye akaunti ya mteja papo hapo.
Kiasi cha Mkopo: Hadi shilingi 1,000,000.
Muda wa Kulipa: Hulipwa mara tu mteja anapoweka fedha kwenye akaunti au ndani ya siku 30, kutegemea kipi kitaanza kwanza.
Riba nafuu na shindani.
Mkopo unapatikana kupitia SimBanking App au USSD.
Mteja anaweza kutumia huduma hii mara nyingi atakavyo ilimradi tu hajavuka kikomo kilichoidhinishwa.
Fedha inatolewa papo hapo wakati wa kufanya muamala.
Matumizi: Inaweza kutumika kukamilisha miamala muhimu kama vile:
Kuhamisha fedha Kwenda akaunti za CRDB, benki nyingine au mitandao ya simu.
Malipo ya huduma kama LUKU, maji, TV, n.k.
Malipo ya tiketi za ndege, bima, ada za shule, na mengineyo mengi
Mteja lazima awe na akaunti hai ya CRDB iliyounganishwa kwenye SimBanking.
Wafanyakazi: Wanapata mkopo hadi 50% ya mshahara wa mwezi baada ya makato
Wateja Wengine: Kiwango kitategemea wingi wa miamala wanayofanya kupitia akaunti zao.
Kiasi cha Mkopo: Hadi shilingi 1,000,000.
Muda wa Mkopo: Siku 14 au 30.
Riba nafuu na shindani.
Mkopo unapatikana kupitia SimBanking App au USSD.
Mteja anaweza kuchukua mkopo zaidi ya mmoja kwa wakati ilimradi haivuki kikomo kilichoidhinishwa.
Fedha inaingizwa kwenye akaunti ya mteja papo hapo.
Maswali
Jinasue ni huduma ya mkopo wa kidijitali wa haraka na rahisi unaokuwezesha kuomba na kurejesha mikopo moja kwa moja kupitia simu yako ya mkononi. Huduma hii inapatikana muda wote (24/7) kwa kutumia simu ya mkononi kupitia aplikesheni ya SimBanking au USSD (kwa kupiga *150*03#).
Ingia CRDB simbanking, Chagua mikopo, kisha nenda kwenye mkopo wa Jinasue. Kiwango cha mkopo unachostahili kutaonyeshwa, ukikubaliana, weka kiasi unachotaka na kisha tuma. Kiasi ulichokiomba kitawekwa kwenye akaunti yako papo hapo.
Mteja yeyote wa CRDB mwenye akaunti ya mtu binafsi, aliyesajiliwa na CRDB SimBanking, na anayekidhi vigezo vyetu vya kustahili anaweza kuomba mkopo wa Jinasue.
Vigezo vitategemea historia ya miamala ya akaunti yako, uwezo wako wa kifedha. Akaunti inapaswa kuwa hai na ifanye miamala kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.
Habari njema ni kwamba hakuna taarifa unayohitajika kutoa. Unachohitajika kufanya ni kuingiza kiasi unachotaka na kutuma ombi lako. Kila kitu kinafanyika kidigitali.
Kiwango cha mkopo kinategemea historia ya miamala ya akaunti yako. Alama yako itaongeza au kupunguza kiwango kulingana na historia ya akaunti, uwezo wako wa kifedha, na sera za benki.
Kiwango cha chini cha mkopo kitategemea mfumo utakavyochakata historia ya miamala ya akaunti yako, na kiwango cha juu kitakuwa TZS 1,000,000 (Milioni Moja pekee).
Kuna ada ya mara moja ya 8% inayotozwa kwenye kiasi cha mkopo.
Huu ni mkopo wa mwezi mmoja. Lakini wakati wa kuomba unaweza kuchagua siku 14 au siku 30. Kiasi cha mkopo pamoja na riba kitatolewa kwenye akaunti yako baada ya siku 30.
Ndiyo, una chaguo la kulipa mkopo mapema ikiwa unataka kufanya hivyo. Unaweza kuanzisha mchakato wa malipo kupitia Simbanking, na kiasi cha mkopo kitakachobaki kitakatwa kutoka kwenye akaunti yako ifikapo tarehe ya marejesho.
Ingia kwenye SimBanking, chagua sehemu ya mikopo, kisha chagua malipo ya mkopo. Utaombwa kuingiza kiasi na kutuma. Salio la mkopo litasasishwa papo hapo. Malipo ya kuchelewa yanaweza kusababisha ada za ziada na kuathiri alama yako ya mkopo.
Ndiyo, tunachukua faragha na usalama wa taarifa zako kwa umakini mkubwa. Taarifa zote za binafsi zimefichwa kwa usalama na hazishirikishwi kwa wahusika wengine bila idhini yako.
Unaweza kupendezwa na
Mkopo wa Wafanyakazi
Pata mkopo wa Wafanyakazi hadi TZS Milioni 100 ndani ya masaa 24 na ‘Jiachie Utakavyo‘ na kiwango cha riba nafuu hadi 14% na muda wa marejesho hadi miaka 7.
Mkopo wa Jijenge
Mkopo wa muda mrefu unaotolewa kwa wateja na wateja watarajiwa wa benki ya CRDB kwa ajili ya Ujenzi, Kununua/Kukarabati nyumba za Kupanga.
Mkopo wa Boom Advance
Boom Advance ni mkopo wa muda mfupi unaokusudiwa kutoa suluhisho la kifedha la muda mfupi kwa wanafunzi kabla ya kupokea posho za HESLB.
Mkopo wa Salary Advance
Mkopo wetu wa Salary Advance ni njia isiyo na gharama kubwa ya kupata mkopo wa papo hapo hadi 50% ya mshahara wako kupitia SimBanking.
Mkopo wa “Overdraft” (Jinasue Overdraft)
Hii ni huduma ya mkopo inayoongeza salio kwenye akaunti ya mteja pale ambapo salio lililopo halitoshi kukamilisha muamala.