Pata Mkopo. Pata Lipa Hapa
Fungua Akaunti ya Hodari kukuza biashara. Pokea malipo na pata mkopo wa biashara.
What information are you looking for?
CRDB BANK IN NEWS,GROWING BUSINESS,BEYOND BANKING
Wanahisa Benki ya CRDB kukutana Arusha, kushiriki mtandaoni Mkutano Mkuu wa 31
Read MoreCRDB BANK IN NEWS
Why CRDB Bank shareholders must wear broad smiles again
Shareholders of the CRDB Bank Plc must be wearing broad smiles as the lender’s equity price has risen by 38.4 percent during the past five months, propelled primarily by investors’ hope for lucrative returns as profitability improves further. The lender’s share price closed at Sh270 each last week, up from Sh195 in December 2020.
CRDB BANK IN NEWS,CUSTOMER STORIES,GROWING BUSINESS
CRDB Bank launches “Benki Kimpango Wako”, pledging enhanced services for customers and stakeholders in 2026
Read MoreFAQs
Kupitia kampeni hii, wafanyabiashara wa CRDB watapata fursa ya kujishindia zawadi ya fedha taslimu kwa kila muamala unaofanyika kupitia Lipa Hapa ya CRDB, kutoka kwa wateja wa CRDB Bank.
Kwa kila malipo ya bidhaa au huduma yatakayofanyika kupitia Lipa Namba ya CRDB, mfanyabiashara atazawadiwa shilingi mia tano (500) kwa kila muamala ulioanzia shilingi elfu kumi (10,000) na kuendelea.
Zawadi hii itahesabiwa kulingana na idadi ya miamala halali iliyofanyika katika kipindi husika cha mwezi.
Ili muamala kuhesabika kwenye kampeni hii, ni lazima:
- Mteja awe ni mmiliki wa akaunti ya CRDB Bank
- Malipo yafanyike kupitia mfumo wa CRDB Lipa Hapa
- Kiasi cha muamala kiwe shilingi elfu kumi (10,000) au Zaidi
- Muamala ufanyike ndani ya kipindi cha kampeni (Machi–Desemba 2026)
Note: Ni miamala ya wateja wa CRDB pekee itakayohesabiwa katika kampeni hii.
- Miamala yote ya CRDB iliyopita kupitia Lipa Hapa ya CRDB itakusanywa kila mwisho wa mwezi.
- Jumla ya miamala halali itazidishwa na shilingi mia tano (500).
- Kiasi kilichopatikana ndicho kitakacholipwa kwa mfanyabiashara.
- Malipo yatafanyika kila mwisho wa mwezi moja kwa moja kwenye akaunti ya mfanyabiashara.
- Kuongeza matumizi ya malipo ya kidijitali
- Kuongeza mzunguko wa miamala
- Kupata zawadi ya pesa taslimu kila mwezi
- Kuimarisha ushirikiano na CRDB Bank